iqna

IQNA

qurani inasema nini
Qur'ani Inasema nini / 6
TEHRAN (IQNA) – Mwanadamu humwita Mwenyezi Mungu anapokabiliwa na matatizo na kuomba msaada lakini wakati fulani inaonekana kwamba hakuna jibu. Je, hii inamaanisha kwamba mtu anapaswa kufikiria upya kumwomba Mwenyezi Mungu msaada?
Habari ID: 3475367    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12

Qur'ani inasema nini / 7
TEHRAN (IQNA) – Moja ya matatizo makubwa wanayokumbana nao Waislamu ni kutawaliwa na wasio Waislamu au makafiri katika maeneo mbali mbali duniani. Nini mtazamo wa Qur'ani juu ya hili?
Habari ID: 3475360    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/10

Qur’ani inasema nini / 5
TEHRAN (IQNA)- Masaibu mengi ambayo mwanadamu anapata katika maisha ya ulimwengu hatimaye humalizika kwa kurejea kwa Mwenyezi Mungu, na baada ya ugumu mwanadamu hutarajia faraja.
Habari ID: 3475332    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

Qur'ani inasema Nini / 4
TEHRAN (IQNA) - Vitabu vitakatifu katika dini mbali mbali mara nyingi huzingatiwa kama chanzo cha kuimarisha hali ya kiroho ya mtu na hii inaeleweka kama fikra ya mwongozo lakini Quran Tukufu ina misingi ya kipekee kuhusiana na nukta hii.
Habari ID: 3475320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31

Qur'ani inasema nini / 3
TEHRAN (IQNA)- Kuna misukosuko na masaibu yanayomzunguka mtu kutokana na hali mbaya na matukio mbalimbali. Lakini ni vipi tunaweza kukabiliana na masaibu hayo na kurekebisha mitazamo yetu kuhusu nafsi zetu na ulimwengu?
Habari ID: 3475304    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/27